Zana Zote za Kujifunzia— Ndani ya Jukwaa Moja
Teknolojia ya kisasa inayorahisisha ufugaji wa kuku — hata kwa anayeanza.
Kutoka Shambani Hadi Kwenye Moyo wa Wafugaji Tanzania
Nilianza safari yangu ya ufugaji miaka 17 iliyopita nikiwa na kuku 5 tu. Katika safari hiyo, nimepitia changamoto nyingi, nimefanya makosa, na nimejifunza siri za mafanikio ambazo huzipata kwenye vitabu vya shule.
Sasa, nina shauku kubwa ya kushiriki maarifa haya yote na kila kitu nimejifunza pamoja nawe. Maono yangu ni kuona kila Mtanzania anayependa ufugaji anafanikiwa bila kupoteza muda na fedha kama nilivyofanya mwanzoni. Huu ndio urithi wangu kwako.
Hatua 3 za Kuanza
Jisajili Bure
Unda akaunti yako bila ada yoyote. Upatikanaji wa mara moja wa maudhui ya bure.
Sikiliza Mafunzo
Fikia sauti 5 za masomo ya vitaalamu. Mafunzo yatazidi kuongezwa.
Fuga Kuku kwa Ufanisi
Pata ujuzi mpya, tumia Akili Mnemba, na ujiunge na mtandao wa wafugaji washindi.
Sauti za Mafanikio
Yanaongea Yenyewe
"Nilianza na kuku 10 tu baada ya kusikiliza mafunzo haya. Leo nina kuku zaidi ya 500 na soko la uhakika la mayai."
John Mndeme
Kibaha, Pwani
"Vifo vya vifaranga vilikuwa chanzo cha hasara yangu kubwa. Mama Kuchi amenifundisha mbinu rahisi zilizopunguza vifo kwa kiasi kikubwa."
Aisha Ally
Morogoro
"Msaidizi wa AI amenisaidia kutatua dalili za magonjwa usiku wa manane. Huduma bora sana kwa mfugaji wa kisasa."
Saleh Rashid
Dar es Salaam
Masterclass ya Ufugaji Bora
Jiunge na somo letu la kwanza la kina linalofungua milango ya ufanisi katika ufugaji wa kuku wa kisasa.
